TUMSIFU YESU KRISTO TAIFA LA MUNGU. KARIBUNI UPATE MAKALA, MAFUNZO SALA NA TAARIFA MBALI MBALI ZA KANISA KATOLIKI TANZANIA
MAZISHI MV NYERERE
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Shughuli ya Mazishi ya wapendwa wetu walioiaga dunia sept 20 ndio ipo katika taratibu ya kuhifadhiwa. Viongozi mbalimbali wa serikali, wananchi, na Viongozi wa dini na vyombo vya dola wanahudhuria shughuli hii.
Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake asili biblia kanisa katoliki madhehebu mapokeo mitume roho_mtakatifu visakramenti watakatifu Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vinavyohusu kazi ya Mungu ya kuwakomboa mwanadamu Je, Biblia ilipatikanaje? Nini chanzo na asili ya Biblia. Biblia iliundwa kwa kukusanya vitabu vya dini vya wakristo hapo awali na kuunda kitabu kimoja. Kwa maana hii ni kwamba Biblia ni vitabu teule vya dini na hivyo vipo vitabu vingine vya dini ambavyo havikuwekwa Kwenye Biblia. Kwa hiyo basi Wakristo wa kwanza walichagua vitabu kadhaa na kuviweka pamoja na kisha kuvita Biblia. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu muhimu tuu vya dini mpaka kufikia Enzi za Mitume. Je, Biblia ndicho kitabu pekee cha neno la Mungu? Hapana, Biblia sio kitabu pekee cha neno la Mungu isipokua Biblia ni kitabu kilichoidhinishwa rasmi kutumika Kama kitabu kikuu cha Wakristo. Hii ni kwa sababu Biblia imeundwa ...
(Hayati Mwl. Julius K. Nyerere) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa raisi wa kwanza wa Tanzania, alizaliwa Butiama mkoani Mara mnamo tarehe 13 April 1922 na alifariki dunia 14 Oktoba 1999. Alikuwa mojawapo kati watoto 26 wa Nyerere Burito, chifu wa kabila la Wazanaki. Alipokuwa mtoto Nyerere alichunga mifugo ya babake; katika umri wa miaka 12 aliingia shule akitembea kilomita 30 hadi Musoma. Baada ya kumaliza shule ya msingi aliendelea kusom a shule ya wamisionari Wakatoliki huko Tabora. Katika umri wa miaka 20 alibatizwa akawa mkristo Mkatoliki hadi mwisho wa maisha yake. (Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati baba wa Taifa) Mapadre wakaona akili yake wakamsaidia kusoma ualimu huko Makerere, Kampala, Uganda kuanzia 1943 - 1945. Makerere akaanzisha tawi la Umoja wa wanafunzi Watanganyika pia amejihusisha na tawi la Tanganyika African Association (TAA). Baada ya kumaliza masomo ya ualimu alirudi Tabora akifundisha shule ya St.Mary´s. Mwaka 1949 alipata skolashipu ya kwenda kusoma ...
Sala kwa Mkatoliki ni nini hasa? Tunaposema sala tunamaanisha nini Sala ni kuongea na Mungu. Sala kwa Mkatoliki inajumuisha maombi, tafakari, ibada, taamuli, shukrani na sifa. Maana ya sala kwa Mkristo Mkatoliki sio kuomba tuu kama wanavyotafsiri watu wasio wakatoliki. Wengi wa wasio Wakatoliki wanaposema Sala wanamaanisha Maombi. Kwa hiyo kwa Mkatoliki, Sala ni zaidi ya Maombi. Ndiyo maana kwa mkatoliki kuna sala za namna mbalimbali kama vile za Tafakari, za Maombi za Sifa na za kushukuru. Mfano sala ya Atukuzwe Baba sio maombi bali ni sala ya kumtukuza Mungu kwa maana hiyo sio Maombi, ndiyo maana husaliwa baada ya sala au matukio fulani kama ishara ya kumtukuza Mungu na kutambua ukuu wa Mungu Yesu alifundisha tusali vipi? Kisha Yesu akawapa wanafunzi Wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa. 2Akawaambia, “Katika mji mmoja alikuwapo hakimu ambaye hakumwogopa Mungu wala kumjali mtu. 3Katika mji huo alikuwako mjane mmoja ambaye alikuwa ak...
Comments
Post a Comment